MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA WALIOFARIKI KWA AJALI YA GARI, ARUSHA JUZI, YAAGWA


 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan (Watatu kushoto) akiwa kwenye Shughuli ya majonzi ya kuaga miili ya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja waliokufa katika ajali ya gari mkoani Arusha, juzi, Shughuli hiyo imefanyika leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid ukiwa umefurika waombolezaji wakati wa kuaga miili hiyo, leo

0 comments: