MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI MBUYUNI OSTABEY JIJIN DAR ES SALAM AGONGWA NA GARI

 Wasamaria wema eneo la Namanga Ostabey jirani na kituo cha Daladala cha Mbuyuni Jijini Dar es Salaam  wakiwa wanajalibu kumbeba Mwanafunzi wa Shule Msingi Mbuyuni (jina limehifadhiwa) kwa lenge la kumuwahisha mwanafunzi huyo Hospitali baada ya kugongwa na Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE huku wanafunzi hao   wakivuka katika kivuko cha wenda kwa miguu, (punda miria) baada ya dereva huyo kupita hapo akiwa katika mwendo wa kasi


 Wananchi (jina halikupatikana mara moja) wakitaka kumuadhibu aliyekuwa akimtetea dereva huyo ili asipigwe na wananchi wenye hasira kali hatimaye Dereva huyo kuokolewa na Polisi
 Polisi akiwa amemdhibiti Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE aliyesababisha ajali hiyo
 Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE (kulia) akikataa asipigwe picha


 Dereva wa Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE (aliyevaa miwani) kushoto akizungumza jambo na askati wa Jeshi la Polisi

 Dereva mwenye Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE akiwa mikononi mwa Polisi

 


 Wanafunzi wa shule ya Msingi Mbuyuni eneo la Namanga april 3,2017 wakiwa katika eneo la tukio


Mwananchi ambaye jina halikubatikana mara moja akionyesha alipogonga chuma hicho mwanafunzi huyo baada ya kugongwa Gari lenye namba za Usajili T 801 DHE April 3, 2017
Wananchi wakivuka katika kivuko cha waendao kwa miguu baada ya kushuhudia tukio la kugongwa mwanafunzi huyo

0 comments: