WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI (TPC)

 Waziri Mkuu  Kassim  Majaliwa , akipata maelezo  Kutuko  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Sukari cha (TPC) Bwana Robert  Baissac,  kuhusu mbegu za kisasa za Miwa zinazo zalishwa  katika  Shamba Darasa  la Kiwanda cha Sukari cha TPC Kilichopo  Mkoani Kilimanjaro Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi karibuni

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akifuatana na Meneja wa Kiwanda cha Sukari (TPC) Bwana  Pascal Petiot  kwenye kiwanda hicho
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akipata maelezo  kutoka kwa  Meneja wa Kiwanda cha Sukari (TPC) Bwana  Pascal Petiot  Mitambo Mipya ya Kompyuta ambazo zimefungwa  ili kuongeza Ufanisi Katika Kiwanda  cha TPC Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi karibuni
 Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa,  akiangalia Mitambo  mipya   inayo fungwa  katika Kiwanda cha   kutengeneza  Sukari  cha  TPC, Kilichopo Mkoani Kilimanjaro, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi karibuni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akisalimiana na kiongozi wa Chama  cha Wafanyakazi  wa kiwanda cha Sukari  TPC (TASIWU)  Bwana Bilali Omari ,waliopo katikati aliyeva  Tisheti ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPC  Bwana  Robert  Baissac na Meneja wa Kiwanda hicho Bwana  Pascal  Petiot, Waziri Mkuu alitembelea Kiwanda  hicho hivi karibuni (PICHA NA PMO)

0 comments: