RAIS DKT MAGUFULI APOKELEWA KWA NDEREMO MKOANI KILIMANJARO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:37 PM
Waziri Mkuu
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akilakiwa
na Kamnda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Hamisi Issa alipowasili
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza
ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadick mara alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya
kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Waziri Mkuu, Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,
Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongiozana na Waziri Mkuu Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa
na Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokwa alipowasili katika Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya
siku tatu mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri
Mkuu, Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo leo Jumamosi
Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
aiiongiozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro, Said Meck Sadick alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wanahabari alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wana UVCCM alipowasili katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo leo Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Bomang'ombe Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa muda wakati
akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari
kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
changamioto za wananchi wa Kwa Sadala Wilaya ya Hai waliomsimamisha kwa
muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Kijana
akiwa kabebwa mgongoni akirekodi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga
Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili tayari kwa kuanza ziara ya
kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea
na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini waliomsimamisha kwa muda
wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowsili
tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo Kilimanjaro
Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa
maagizo wa kutotoza ushuru wachuuzi kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Hai,
Yohana Sintoo wakati akiongea na wananchi wa Kwa Sadala waliomsimamisha
kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
alipowasili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani humo
Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akitoa maagizo wa kutotoza ushuru wachuuzi kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya
Hai Bw. Yohana Sintoo wakati akiongea na wananchi wa Kwa Sadala
waliomsimamisha kwa muda wakati akitokea uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro alipowasili tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu
mkoani humo Kilimanjaro Jumamosi Aprili 29, 2017
Mbunge
Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm
akimshangilia Rais Magufuli alipoongea na wananchi wa Karanga
Mbunge
Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm
akisalimiana na Rais Magufuli aliposimamishwa kuongea na wananchi wa
Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm eneo la Karanga
Rais magufuli akiwa na Mbunge Mstaafu na aliyekuwa Mkuu wa Sekondari ya Weruweru, Dk Maria Kamm akisalimiana na wanafunzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi wa Karanga Wilaya ya Moshi mjini
Wananchi wa Kibololoni wakimshangilia Rais Magufuli
Wananchi wa Kibololoni wakimshangilia Rais Magufuli
Rais Dkt. Magufuli akisalimia Wananchi wa Kibololoni.
PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: