DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI WA MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:46 AM
jengo
la Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni
Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili
wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo umezinduliwa leo na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge, pia Waziri wa
Fedha na Mipango Mhe, Dkt. Khalid Salum Mohamed wakati alipowasili katika
viwanja vya Msikiti wa Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge
Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika
kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab
Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe, Mohamed Raza Daramsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe, Mohamed
Raza Daramsi wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo
uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed
Shein (kulia) akisalimiana na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Fadhil Soraga wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa
Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, alipofika kuuzindua msikiti huo
uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini
Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe, Mohamed
Raza Daramsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Vuai
Mwinyi Mohamed wakati alipofika kuuzindua Msikiti wa Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa
Shehab Albreiki Nchini Dubai, chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo
la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Wanafunzi
wa kikundi cha dufu katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya
Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo, wakimuongoza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) wakati alipofika kuuzindua Msikiti wa Madinatul Munawara
katika Kijiji hicho uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab
Albreiki Nchini Dubai, chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe, Mohamed Raza Daramsi.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed
Shein akifungua pazia kuuzindua Msikiti wa Munawara
katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa
Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab
Albreiki Nchini Dubai, chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe, Mohamed Raza Daramsi (katikati).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini
"B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi
Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa
Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi.
Baadhi
ya Viongozi mbali mbali wa Serikali na na Waislamu wa Dini ya Kiislamu
wakiwa katika Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha
Donge Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika
sherehe za Uzinduzi wa msikiti huo uliozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani) ambapo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki
Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini
Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Baadhi
ya Waislamu na Wananchi walioalikwa katika sherehe za Uzinduzi wa
Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni
Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakimskiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
(hayupo pichani) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti
huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini
Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed
Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Baadhi
ya Viongozi Mashekhe na Waislamu mbali mbali walioalikwa katika
sherehe za Uzinduzi wa Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji
cha Donge kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini
Unguja,wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipotoa nasaha
zake baada ya Uzinduzi wa Msikiti huo,ambao umejengwa kwa ufadhili wa
Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu kushoto).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto aliyesimama) alipotoa nasaha zake baada ya Uzinduzi wa
Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni
Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo,uliojengwa kwa
ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi
wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi (wa tatu
kushoto).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akipokea Funguo za Msikiti kutoka Msimamizi wa Ujenzi wa
Msikiti Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge kitaluni
Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe,Mohamed Raza
Daramsi (kushoto) baada ya Uzinduzi ulifanyika leo Kijijini hapo,Msikiti
huo umejengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini
Dubai. Picha na Ikulu, Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: