RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NCHINI TUCTA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:33 AM
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
kikao na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Trade
Union Congress of Tanzania -TUCTA) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi
nchini (Trade Union Congress of Tanzania -TUCTA) mara baada ya kikao
kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya mara baada ya kumaliza kikao na kupiga
picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi
ya viongozi wa TUCTA mara baada ya Kikao chao Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: