BARCELONA,DORTMUND ZATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA ULAYA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:57 AM
FC
Barcelona imetolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya
sare ya bila mabao dhidi ya Juventus.Licha ya kuwa kwenye uwanja wake wa
nyumbani wa Camp Nou, Barcelona ilishindwa kushinda na kufanya Juventus
ya Italia isonge mbele kwa jumla ya mabao 3-0, ushindi walioupata mjini
Turin katika mechi ya kwanza.Mabao mengine ya Monaco yalifungwa na
nahodha wake, Radamel Falcao na Varele Germain akahitimisha bao la tatu.
VIKOSI
Barcelona:
Ter Stegen 7, Roberto 8 (Mascherano, 78), Pique 8, Umtiti 7, Alba 7,
Busquets 8, Rakitic 6 (Alcacer, 58), Iniesta 8, Neymar 7, Suarez 7,
Messi 7
Subs not used: Cillessen, Denis Suarez, Digne, Andre Gomes, Alena
Booked: Iniesta, Neymar
Juventus:
Buffon 8, Dani Alves 8, Bonucci 9, Chiellini 9, Alex Sandro 8, Khedira
7, Pjanic 8, Cuadrado 8 (Lemina, 84), Dybala 7 (Barzagli, 75), Mandzukic
7, Higuain 7 (Asamoah, 88)
Subs not used: Neto, Benatia, Lichtsteiner, Rincon
Booked: Chiellini, Khedira
Referee: Bjorn Kuipers (Holland)
Nchini Ufaransa vinara wa Ligi hiyo Monaco wametinga nusu fainali
Mshambulizi
nyota wa AC Monaco, Kylian Mbappe Lottin amezidi kuonyesha uwezo baada
ya kufunga tena wakati timu yake ikiichapa Dortmund kwa mabao 3-1 na
kutinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao
6-3.Katika mechi ya kwanza mjini Dortmund, wageni Monaco walishinda 3-2
huku Mbappe akipachika mabao mawili.
Monaco starting XI: Subasic, Toure, Glik, Jemerson, Mendy, Moutinho, Bakayoko, Silva, Lemar, Falcao, Mbappe
Monaco subs: De Sanctis, Jorge, Dirar, Germain, Raggi, Cardona, N’Doram
Borussia Dortmund XI: Burki, Piszczek, Ginter, Sokratis, Durm, Weigl, Sahin, Reus, Kagawa, Guerreiro, Aubameyang
Dortmund subs: Weidenfeller, Bender, Dembele, Pulisic, Merino, Castro, Schmelzer
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: