WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA BMT, BODI YA LIGI NA TFF MJINI DODOMA.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:59 AM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la Michezo la Taifa
(BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) Mjini Dodoma leo Aprili 20, 2017. (wapili kulia ni Naibu Waziri wa wizara
hiyo, Mhe. Anastazia Wambura.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Mhe. Anastazia Wambura (Kushoto) akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la
Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira
wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na ujumbe kutoka Baraza la
Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira
wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe.
Mwanasheria wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Tanzania (TFF) Emmanuel Muga Agustino, (wapili kushoto), akifafanuamasuala ya
kwa kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.
Harrison Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe
kutoka Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Boniface
Wambura(kushoto) akieleza masuala mbalimbali yahusuyo Ligi Kuu Tanzania Bara
kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe(hayupo pichani) wakati wa kikao kati ya Waziri na ujumbe kutoka
Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara na Shirikisho
la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mjini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: