MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA SITA WA TUCTA MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kabla ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi  (TUCTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma Novemba 23, 2016.  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu   Mkuu  Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama    na kushoto kwake ni  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu   Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akiwasalimia wajumbe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi, Angela Kairuki akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma

Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) , Gratian Mukoba  akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUKTA) kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Sita wa  Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA) wakiimba wimbo wa Mshikamano kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kufungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) wakimsikilza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Ulumbi Shani ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Shirikisho la Vyama  vya Wafanyakazi (TUKTA)  uliofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wananchama wa TUCTA baada ya kufungua Mkutano  Mkuu wa Sita kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma  Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi,  Ajira , Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama na kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi, Angela Kairuki

 Waziri Mkuu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana
Waziri Mkuu akisalimiana na Rais wa CWT, Gratian Mukoba

0 comments: