Bango lililopo katika chumba cha Mkutano 31 wa Uzinduzi wa Mkutano wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno utakao fanyika 23 na 25 Vovemba, 2016 , ambapo Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dr, Steven Kebwe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi
Ukumbi wa Magadu Officers Club uliopo Mjini Morogoro ndio utakao tumika kwa Mkutano huo wa 31 wa Chama Cha Madaktari hao wa Kinywa na Meno
Baadhi ya Madaktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wakiwa katika chumba cha Mkutano ambacho kitakacho fanyiwa Mkutano huo wakiongozwa na mwenyeji wao Baraka Nzobo (kulia) ambae ni Daktari wa Kinywa na Meno Hospitali ya Rufaa, Mkoa wa Morogoro
Baadhi ya Madaktari toka Hospitali ya Taifa Muhimbili na wenyeji wao kutoka Hospitali ya Rufaa, Morogoro wakiweka mambo sawa mara walipo wasili Mkoani humo wakiongozwa na Rais wa Chama hicho Dk, Lorna Carneiro (wa nne kulia)
Rais Mstaafu wa Kinywa na Meno na Mkuu wa Idara Hospitali ya Taifa Muhimbili Dk, Rachel Mhavile (kushoto) akijadiliana jambo na wafanyakazi wa Hosptali ya Taifa Muhimbili baada ya kuwasili Mkoani Morogoro katika Mkutano wa 31 wa Chama Cha Madaktari wa kinywa na Meno utao tarajiwa kuanza 23 na kufikia kilele 25 Novemba. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: