Raia huyo wa Ureno ambaye anashikilia tuzo ya mchezaji bora pia amewataja kinda Odegaard anayecheza naye Madrid na kiungo mpya wa Man United, Memphis Depay kuwa ni kati ya vijana hatari wanaochipukia.
RONALDO ATAJA TANO BORA YAKE, INAONGOZWA NA HAZARD, NEYMAR
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:38 AM
Mshambuliaji nyota
wa Real Madrid, Cristiano ameitaja tano bora ya wachezaji bora duniani
wanaochipukia.
Ronaldo
amewataja Eden Hazard wa Chelsea, Neymar wa Barcelona na Paul Pogba
wa Juventus kuwa sehemu ya tano bora yake ya wachezaji bora vijana duniani.
Raia huyo wa Ureno ambaye anashikilia tuzo ya mchezaji bora pia amewataja kinda Odegaard anayecheza naye Madrid na kiungo mpya wa Man United, Memphis Depay kuwa ni kati ya vijana hatari wanaochipukia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: