KLOPP KWELI ANATAFUTA KIKOSI LAKINI MJERUMANI HUYO ANAJIAMINI BALAA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:34 AM
Kocha Jurgen Klopp
ameonyesha kuwa uwezo mkubwa wa kujiamini akiwa na Liverpool inayoonekana kama
haina kitu.
Maana kwa mechi tano
mfululizo, Mjerumani huyo amekuwa akibadili kikosi kuonyesha kuna kikosi
anachokitafuta na raha zaidi, hajapoteza hata mara moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: