Mtoto akipeperusha bendera ya Taifa katika mkutano wa kampeni za DK Magufuli Muleba Kusini
Dk Magufuli akiifariji familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye aloifariki dunia katika ajali ya pikipiki
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni katika Jimbo la Muleba Kusini Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili katika mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini kuendelea na kampeni Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini Mmoja wa wanachama wa upinzania akijitangaza kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA ccm Dk Magufuli akiomba kura kwa wananchi katika Kata ya Nshamba Muleba Kusini Wananchi wakifurahishwa na ujio wa Dk Magufuli katika Kata ya Kamachumu, Muleba Kaskazini Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini kijinadi kwa wananchi Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi Muleba Kaskazini Mmoja wa wakazi wa Kamachumu akisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kuomba kura kwa wananchi Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Kemondo Ni furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Marukucha MaBukoba Vijijini Mwakilishi wa watu wenye ulemavu kwenye kampeni za CCM, Amon Mpanju akielezea wasifu wa Dk Magufuli Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Maruku, Bukoba Vijijini Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akielezea sera za CCM Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli Dk.Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo hilo Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini
Chege na Temba wakitumbuiza katika mkutano huo Yamoto Bandi ikitumbuiza FD Q akitumbuiza Mgombea ubunge jimbo la Muleba Kaskazini, Charles Mwijage akielezea umuhimu wa wananchi kumpigia kuraDk Magufuli. Wengine ni wagombea ubunge viti maalumu kupitia Mkoa wa Kagera. Kulia ni Halima Bulembo Kundi la Diamond likitumbuiza wakati wa mkutano huo
Dk Magufuli akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Naseeb Diamond Platnumz Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bukoba Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM akijinadi kwa wananchi, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba
PICHA ZOTE NA RISHARD MWAIKENDA-KAMANDA WA MATUKIO BLOG
0 comments: