SALAMU ZA HERI YA MIAKA 51 YA MUUNGANO

Ngoma Africa Band a.k.a FFU ikiwa kazini.
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band a.k.a FFU-Ughaibuni yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia kila la heri Watanzania wote walio nyumbani na nje heri na baraka, amani, mshikamano na upendo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamuhuri yetu ya Muungano wa Tanzania.
Tudumishe Muungano wetu daima milele.
Mungu Ibaraki Tanzania

0 comments: