
NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI AJIONEA HITILAFU YA MTAMBO WA MAJI MOTO HOTELI YA NEW AFRICA LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:40 AM
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof.
Elisante Ole Gabriel (mwenye koti) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa
Usalama wa Hotel ya New Afrika Hotel ya Jijini Dar es Salaam, Bw. Isack
Kabugu kuhusu hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika mtungi wa kuhifadhi
moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari katika majengo ya ofisi
zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo ofisi ya Idara ya Habari na Ofisi
ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya Wizara hiyo leo (Jumapili
April 26, 2015).

Mafundi
mitambo wa katika hoteli ya New Afrika ya Jijini Ddar es Salaam
akiangalia athari zilizotokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika
mtungi wa kuhifadhi moto katika Hoteli hiyo ambayo ilileta athari
katika majengo ya ofisi zilizopo jirani na hoteli hiyo ikiwemo ofisi ya
Idara ya Habari na Ofisi ya Bodi ya Filamu Tanzania zilizopo chini ya
Wizara hiyo leo (Jumapili April 26, 2015).
(Picha na MAELEZO)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: