HALF TIME: EVERTON 2-0 MANCHESTER UNITED

James McCarthy (kushoto) akishangilia na Romelu Lukaku  baada ya kuifungia Everton bao la kwanza.
John Stonesakiifungia Everton bao la pilikwa kichwa.
Kwa sasa ni mapumziko, Everton wanaongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya Manchester United katika mechi ya Ligi Kuu ya England inayoendelea kwenye Uwanja wa Goodison Park.
Mabao ya Everton yamefungwa na J.McCarthy dakika ya 5 na J. Stones dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza.
Vikosi: 
Everton: Howard, Baines, Stones, Jagielka, Coleman, Barry, McCarthy, Osman, Barkley, Lennon, Lukaku
Everton walio benchi: Joel, Kone, Mirallas, Naismith, Besic, Garbutt, Alcaraz
Manchester United: De Gea, Valencia, Smalling, McNair, Shaw, Blind, Herrera, Mata, Fellaini, Young, Rooney 
Man Utd walio benchi: Valdes, Di Maria, Falcao, Januzaj, Van Persie, Blackett, Pereira

0 comments: