SHULE YA LAKE TANGANYIKA INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

 

Uongozi wa shule ya sekondari Bishop Makaya iliyoko kigoma wilaya ya kasulu mjini inawatangazia nafasi za masomo kuanzia kidato Cha kwanza Hadi Cha nne kwa mwaka wa masomo 2023.


Shule inamilikiwa na kanisa la Anglikani doisisi ya magharibi 

Ada zetu ni nafuu sana na zinalipwa kwa awamu nne kwa mwaka karo kwa mwaka 900000 na michango ya maendeleo ya shule 150000 kwa mwaka. 


Shule ni ya bweni na ni mchanganyiko wavulana na wasichana 


Shule ya Bishop Makaya inapatika kasulu Barabara ya kwenda Kabanga


Shule Ina walimu wa kutosha na mazingira mazuri ya kujifunza


Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga na zifuatazo 


Piga simu 0684548655 kwa mawasiliano zaidi.













0 comments: