Mwanyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT),
Gulamhafeez Mukadam akizungumza na wajumbe wa jumuiya hiyo (hawapo
pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe wa jumuiya hiyo
katika mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es
Salaam.
Meya wa Jiji la Dar es Salaam Mh. Isaya Mwita akisisitiza jambo kwa
wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakati wa jukwaa
la mafunzo kwa wajumbe hao katika mkutano mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo
mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT)
wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez Mukadam (hayupo
pichani) wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika
mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa
Tanzania (ALAT) wakimsikiliza Mwanyekiti wa Jumuiya hiyo Gulamhafeez
Mukadam wakati akifungua jukwaa la mafunzo kwa wajumbe hao katika
mkutano wa 33 wa jumuiya hiyo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.Picha
na Eliphace Marwa - Maelezo
0 comments: