MAANDALIZI YA MAPOKEZI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI YAANZA

Mmiliki wa Ujijirahaa Blog, Napenda kuungana na Waislamu wote katika kuupokea Mwezi wetu Mtukufu wa Ramadhani unao tarajiwa kufika hivi karibuni na kuwaombea wale wenye maradhi Mbalimbali na wenye vidonda vya tumbo Mungu awape Afya njema na awaponye na maradhi hayo na awafanyiye wepesi waweze kufunga mwezi huo Mtukufu na kuzidi kukumbushana kuto kata tamaa  ya maisha (PICHA NA KAHISI MUSSA)

0 comments: