SIMBA ILIVYOINGIA GEITA NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE NA MASHABIKI WA MKOA HUO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:18 PM
MSAFARA
wa Kikosi cha timu ya Simba kimewasili salama jana jioni mkoani Geita
ambapo watakaa kwa muda wa siku tatu kabla ya kueleka Jijini Mwanza kwa
mechi mbili za ligi kuu Vodacom.
Simba
waliotokea Mkoani Kagera walipokuw ana mechi dhidi ya Kagera Sugar
waliingia mkoani Geita na kulakiwa kwa shangwe kubwa na wanachama pamoja
na mashabiki wa timu hiyo na kuwataka wajihisi wapo nyumbani.
Kikosi
cha wanamsimbazi kitaweka kambi ya siku tatu pia kinaweza kucheza mechi
ya kirafiki na timu ya Geita ya mkoani humo ikiwa ni moja ya maandalizi
ya mchezo wao wa ligi kuu
Gari ya timu ya Simba ikiingia Mkoani Kagera wakiongozwa na msafara wa mashabiki wa timu hiyo.
Mshambuliaji
wa kimataifa kutoka nchini Laudit Mavugo akishuka kutoka katika gari ya
wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita.
Mwinyi Kazimoto akishuka kutoka katika gari ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita
Beki
wa timu ya Simba raia wa Kongo Besela Bukungu akishuka kutoka katika
gari ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita.
Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajib akishuka kutoka katika gari ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita.
Beki wa Simba Abdi Banda akishuka kutoka katika gari ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita.
Mshambuliaji wa Simba Juma Luizio akishuka kutoka katika gari ya wachezaji wa timu hiyo wakiwa wanasili Mkoani Geita.
Mashabiki watimu hiyo wakiwa na shangwe za kuipokea timu yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: