RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKAZI MAGOMENI KOTA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:35 PM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
muwakilishi wa wananchi wakifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la
msingi kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota
jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kuashiria kuanza
rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es
salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata
utepe na viongozi wengine na muwakilishi wa wananchi kuashiria kuanza
rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es
salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine na muwakilishi wa wananchi wakishangilia baada ya kukata utepe
kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota
jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi
wengine akikagua eneo la ujenzi wa nyumba za makazi baada ya kuweka
jiwe la msingi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na akipata
maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA) Arch. Elius
Mwakalinga wakati akikagua eneo la ujenzi wa nyumba za makazi baada ya
kuweka jiwe la msingi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo.
Wengine ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William
Lukuvi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliani, Profesa Makame
Mbarawa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa
kwa furaha na wasanii mbalimbali wa filamu na wananchi wakati akikagua
eneo la ujenzi wa nyumba za makazi baada ya kuweka jiwe la msingi eneo
la Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga
tumba wakati bendi ya Msondo Ngoma ikitumbuiza wananchi wakati wa
sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kuashiria kuanza rasmi ujenzi wa
nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar es salaam leo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia
wananchi wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi kuashiria
kuanza rasmi ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota jijini Dar
es salaam leo.
PICHA NA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: