NAPE AZUNGUMZA NA WAZEE WA JIMBO LAKE LA MTAMA

4
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wazee hao leo Aprili 9, 2017
1
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye akiwasili katika kikao cha kati yake na wazee wa Mtama kilichofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki kijiji cha Majengo A huku akiwa ameongozana na Katibu Msaidizi wa Wilaya ya Lindi Vijijini Bw. Shaibu Bakari Ngatiche
2
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya wazee wakati alipowasili katika ukumbi wa mkutano wake kati ya yake na  wazee wa Jimbo la Mtama.
3
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye akizungumza na wazee wa Mtama leo kwenye ukumbi wa kianisa Katoliki Kijiji cha Majengo A.
4
Mbunge wa jimbo la Mtama, Mh Nape Nnauye akifurahia jambo wakati akizungumza na wazee hao leo.
5
Baadhi ya wazee wakimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Nape Nnauye wakati akizungumzza nao leo.
678
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi vijijini Bw. Mohamed Nanyali akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wakati akimkaribisha Mbunge wa jimbo hilo Mh. Nape nnauye ili kuzungumza na wapiga kura wake.

0 comments: