UNAOMBWA KUSHIRIKI BARAKA ZA HARUSI YA MHARIRI WA KWA NEEMA FM RADIO YA JIJINI MWANZA

Familia ya Jeston Kihwelo ambae ni Mhariri Mkuu (Mwanahabari na Mtangazaji) wa 98.2 Kwa Neema Fm Radio iliyopo Kiloleli, Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza inayofuraha kubwa kukushirikisha katika Sherehe ya Harusi ya kijana wao mpenda Jeston Kihwelo anaetarajia kufunga ndoa na Rebeca Joseph.
Piga 0768 24 88 64 AU 0689 093 041

1 comment: