SIMBA YAIPIGA KAGERA SUGAR MABAO 3-1 LIGI KUU YA VODACOM UWAMJA WA TAIFA

Mashabiki wa Simba, wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yao hiyo na Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba imeshinda mabao 3-1. Mabao yaliyofunga na Hamis Kiiza. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matangazo ukionesha Simba bao 1 na Kagera Sugar 0. 
 Ibrahim Ajib wa Simba akikimbilia mpira sambamba na Ibrahim Job wa Kagera Sugar.
 Ibrahim Ajib wa Simba akiuzuia mpira huku akifuatwa na Ibrahim Job wa Kagera Sugar. 
 Ibrahim Ajib akikokota mpira huku akifuatwa na Deogratius Julius wa Kagera Sugar. 
Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao. 
Mashabiki wa Simba wakishangilia timu yao.  
Ubao wa matangazo ukionesha Simba mabao 2 na Kagera 0. 
Wachezaji wa Kagera Sugar, wakiutoa mpira kwenye nyavu za goli la Simba baada ya kufanikiwa kufunga bao moja katika mchezo huo. 
Ubao wa matangazo ukionesha Simba mabao 2 na Kagera bao 1. 
George Kavila wa Kagera Sugar, akiudhibiti mpira huku akizongwa na Simon Sserunkuma wa Simba.
George Kavila wa Kagera Sugar na Simon Sserunkuma wa Simba wakiwania mpira wa juu. 
Ibrahim Ajib wa Simba, akiumiliki mpira huku akifuatwa na George Kavilla wa Kagera Sugar. 
Ibrahim Ajib wa Simba, akimtoka George Kavilla wa Kagera Sugar.  
Mohamed Hussein wa Simba, akijaribu kumzuia George Kavilla wa Kagera Sugar. 
 Ibrahim Ajib wa Simba na George Kavilla wa Kagera Sugar, wakikimbilia mpira.
George Kavilla wa Kagera Sugar akiuondoa mpira mbele ya Hamis Kiiza wa Simba. 
Pape Ndow wa Simba akiruka juu kuupiga mpira kichwa. 
Deogratius Julius wa Kagera Sugar, akipiga tik tak mpira mbele ya Hamis Kiiza wa Simba. 
Deogratius Julius wa Kagera Sugar akitembea kwa kusaidiwa baada ya kuumia katika mchezo huo. 
Hamis Kiiza (kulia) na Said Ndemla wa Simba, wakishangilia bao la tatu aliloifungia timu yake, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom dhidi Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . Simba imeshinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Kiiza. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la 3 la timu hiyo, lililofungwa na Hamis Kiiza 'Diego', wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . Simba imeshinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Kiiza. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la 3 la timu hiyo, lililofungwa na Hamis Kiiza 'Diego', wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . Simba imeshinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Kiiza. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la 3 la timu hiyo, huku wakiwatania watani wao wa jadi Yanga kwamba bado wao sasa. 
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao hilo la 3 la timu hiyo, lililofungwa na Hamis Kiiza 'Diego', (alikaa chini), wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . 
Ubao wa matangazo ukionesha Simba mabao 3 na Kagera Sugar bao 1. 
Hamis Kiiza 'Diego', akiabidhiwa mpira wake baada ya kuifungia timu yake mabao 3 katika mchezo huo. 
Hamis Kiiza 'Diego', akimshukuru refa baada ya kumkabidhi mpira wake baada ya kuifungia timu yake ya Simba mabao 3 katika mchezo huo, dhidi ya Kagera Sugar..  
Mashabiki wa Simba wakimshangilia Hamis Kiiza wakati alipokabidhiwa mpira wake.

0 comments: