MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA TEMEKE (CCM) ABBAS MTEMVU AZINDUA KAMPENI ZAKE DAR ES SALAAM

Mwenyekiti Wilaya ya Temeke CCM, Yahaya Sikunjema akimnadi kwa  wananchi  na wanachama  Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu wakati  wa mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke Dar es Salaam,  (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA)


Msafara wa Mgombea Ubunge ukielekea viwanja vya mwembeYanga Dar es Salaam

Wafuasi wa Chama hicho wakiwa na mabango katika viwanja vya Mwembe Yanga walipokuwa wakingia katika viwanja hivyo
Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiweka saini katika kitabu cha Tawi la Uwanja wa Taifa Miburani Temeke na kupata taarifa fupi ya Shina la wakereketwa Toroka Uje.

Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akizindua Shina la Wakereketwa la Toroka uje lililopo maeneo ua Uwanja wa Taifa
Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akiwasili katika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam wakati wa Uzinduzi wa kampeni
Mgombea Ubunge kupitia jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akisalimiana na Makada wa chama hicho wakati wa Uzinduzi wa Kampeni
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akizindua Shina la Wakereketwa la Together camp

Mjumbe Shina la Wakereketwa la Together camp, Latifa Shohali akisoma risala kwa Mgombea Ubunge kupitia CCM, Abbas Mtemvu kabla ya kuanza Kwa kampeni
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sandali Richald Mwitumba, akimnadi kwa Wanachama wa kata hiya Mgombea Ubunge Abbas Mtemvu

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Sandali Richald Mwitumba, akimnadi kwa wananchi wa kata ya Sandali  Mama Mtemvu

Mama Mtemvu akisalimiana na Madiwani wakati wa Uzinduzi

Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu (kulia), akisalimiana na makada wa chama hicho

Inspekta Harun akitowa burudani wakati wa kampeni viwanja vya Mwembe Yanga




Mashauz, Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha Mashauzi. akitoa burudani wakati wa Uzindua wa mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi ya Ubunge uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama hicho  Ahmad Mnamala akifungua
mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi  Ubunge uliofanyika viwanja vya Mwembe Tanga
Madiwani 

Mgombea nafasi ya Udiwani Kata ya Kilakala Amiri Osama katika picha ya pamoja na wanacha na wana familia, ambapo kulia kwake ni  mwanachama wa chama  hicho Idrissa Petto, ambaye aliyewahi kushika vyeo mbalimbali CUF, Katibu wa Tawi la Yombo Kilakala,Kaimu wa Katibu CUF.
Wamachama wa vyama mbali mbali wakirudisha kadi za vyama vyao wakati wa  Uzinduzi wa mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam. Wengine waliobaki  ni wagombea nafasi ya udiwani.
Wanachama wakisikiliza sera kwa umakini tokwa kwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) 
Sehemu ya wanachama wakimsikiliza mgombea Ubunge kwa makini
Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu akiwa jukwaani (wa tano kulia), akihutubia wananchi na wanachama wa chama hicho wakati akizindua mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam. Wengine waliobaki  ni wagombea nafasi ya udiwani.
Mgombea Ubunge Jimbo la Temeke, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abbas Mtemvu, akihutubia wananchi na wanachama wa chama hicho wakati akizindua mkutano wa kampeni ya kugombea nafasi hiyo uliofanyika viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam . Wengine kulia ni wagombea nafasi ya udiwani. 

0 comments: