Papa
Francis ameanza ziara yake ya nchini Marekani, ambapo anatarajiwa
kuwasalimia mamilioni ya wakatoliki wa taifa hilo na kuongelea masuala
ya mabadiliko ya hali ya hewa na kukosekana kwa usawa wa kipato.
Rais
Barack Obama wa Marekani alimlaki kwa kumkaribisha Papa Francis Marekani
alipotua kwa ndege ikiwa ni heshima adimu kutolewa kwa mkuu wa taifa
hilo kwa mgeni kutoka nje ya nchi.
Katika ziara yake hiyo Papa Francis atatembelea miji ya Washington DC, New York pamoja na Philadelphia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: