MGOMBEA
urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa
mkono na vyama vinavyounda UKAWA Edward Lowassa leo aitikisa ngome ya
Aliyekuwa Waziri wa Yumba na Ardhi Profesa Anna Tibaijuka baada ya
mapokezi yake kusimamisha shughuli zote katika wilaya hiyo.
Kama unavyoona umati huo kwenye picha hizo,Lowassa ambaye
anaendelea na harakati zake za kampeni katika mikoa mbali mbali nchini
amezidi acha simulizi baada ya watu kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano
yake,
Lowassa
akiwahutubia maelfu na maelfu ya wakati wa Muleba amewataka kujitokeza
kwa wingi Octoba 25 na kumchagua kwa kura nyingi aliakapambana na
kuondoa umasikini wakutupwa kwa watanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: