DK SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI

x1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar .[Picha na Ikulu.]
x3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduuzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Qatar katika Jamhuri ya Muunfano wa Tanzania Abdulla Jassim Al Maadad alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  baada ya mazungumzo yao.

0 comments: