Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akielezea jinsi Tanzania inavyotekeleza
sera zilizowekwa na mashirika ya kimataifa kama (WB) na (IMF) kwa
Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group
Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe.kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile.
Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya akisikiliza kwa makini maswali aliyokuwa
akiulizwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kundi la Afrika ( Afrikca Group
Constituency)Bi.Chileshe Mpundu Kapwepwe hayupo kwenye picha.Kulia kwake
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr.
Servacius Likwelile.
Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka
Tanzania walipokutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC)
Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa
Serikali Dr. Servacius Likwelile na Bw. Ngosha Saidi Magonya, Kamishna
wa Fedha za nje.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani –
Washington Mhe.Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya fedha Zanzibar
Bw. Khamis Mussa na Bw. Laston Msongole ambaye ni Mtendaji Mkuu wa mfuko
wa milenia wa awamu ya pili.
Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akisikiliza kwa makini maelezo
na msimamo wa uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC)
hawapokwenye picha.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Marekani – Washington DC. Mhe.Liberata Mulamula.
Makamu wa
Rais wa shughuli za operesheni za mfuko wa Changamoto za Milenia, Bw.
Kamran Khan wa katikati akitoa maelezo na msimamo wa mfuko wa Changamoto
za milenia. Wengine ni viongozi wa mfuko wa changamoto za Milenia
wakiongea na ujumbe wa Tanzania ( hawapo kwenye picha).
Makamu wa
Rais wa shughuli za operesheni za mfuko wa Changamoto za Milenia, Bw.
Kamran Khan akizungumza na ujumbe kutoka Tanzania na kutoa maelekezo ya
jinsi ya kuutumia mfuko huo nchini Tanzania.
Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Salum Mkuya wa katikati akiwa pamoja na ujumbe kutoka
Tanzania walipokutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC)
hawapo kwenye picha. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na
Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile na Bw. Ngosha Saidi
Magonya, Kamishna wa Fedha za nje.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini
Marekani – Washington Mhe.Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya fedha
Zanzibar Bw. Khamis Mussa.(Picha zote na Ingiahedi Mduma- Washington
DC.)
0 comments: