MTWARA SASA KUMEKUCHA;HOTELI YA KISASA YA SHANGANI HOTEL APARTMENTS YAZINDULIWA RASMI
Apr 26, 2015
Mandhari ya nje ya Hoteli ya Kisasa ya Shangani Hotel Apartments
iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego usiku jana
mjini Mtwara. Pia ulizinduliwa Mgahawa wa kisasa ambapo wageni waalikwa
walifaidi kula chakula cha usiku kilichopikwa na wapishi waliobobea kwa
mapishi yenye vionjo vya kila aina.
Wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa hoteli hiyo itakayozidi kuongeza hadhi ya Mji wa Mtwara ni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Seleman Mtalika na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Fatma S. Ally.Pia waliwepo wageni wengine kutoka taasisi mbalimbali pamoja na wafanyabishara. Hoteli hiyo inamilikiwa na Mkurugenzi Mtendaji Akida Zidikheri.
Akida Zidikheri (kushoto) mmiliki wa Shangani Hotel Apartments na . Said Aboud (kulia)pamoja na Mstahiki Mayor wa Manispaa ya Mtwara, Selemani Mtalika ndani ya mgahawa huo wa kisasa uliopo katika hoteli hiyo.
Mmiliki wa Shangani Hotel Apartments, Akida Zidikheri wakiwa ndani ya moja ya Apartments pamoja naMkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (kulia), na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma S. Ally (kushoto).
Mmiliki wa Shangani Hotel Apartments, Akida Zidikheri wakiwa ndani ya moja ya Apartments pamoja naMkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (kulia),
Mmiliki wa Shangani Hotel Apartments, Akida Zidikheri akiwaonesha wageni waalikwa sehemu ya kutengenezea mikate (bakery), iliyomo kwenye jiko la mgahawa huo.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara, Seleman Mtalika akimkaribisha mkuu wa Wilaya ili aweze kumkaribisha rasmi Mkuu wa Mkoa ili azungumze na wageni waalikwa.
Mmiliki wa Shangani Hotel Apartments, Akida Zidikheri akitoa shukrani kwa wageni waalikwa waliohudhuria ufunguzi huo.
Wakipata mlo wa usiku kwenye mgahawa huo, kutoka kushoto ni;Mstahiki Mayor wa
Manispaa ya Mtwara, Selemani Mtalika, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Fatma Ally, Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego Mwajuma Mchuka Station Manager wa ATC Mtwarana.
Wageni waalikwa wakipta chakula cha usiku kwenye mgahawa huo
Ni kula kwa kwenda mbele

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MATOKEO KIDATO CHA NNE/QT 2014
<a href="http://slideful.com/v20150215_2266147658041209_pf.htm">View the slide show</a>
Rasimu ya Pili ya Katiba Mpya aliyokabidhiwa Rais Jakaya Kikwete, Des 30, 2013
<a href="http://slideful.com/v20131231_0228001682197041_pf.htm">View the slide show</a>KUISOMA BOFYA KWENYE PICHA
Search/Tafuta Hapa
<a href="http://slideful.com/v20130826_0732421836197663_pf.htm">View the slide show</a>
TUTUMIE UJUMBE KUPITIA HAPA
HABARI ZILIZOPITA
Habari zilizosomwa sana
-
H.E PRESIDENT JAKAYA KIKWETE Distinguished Participants, Invited Guests, Ladies and Gentlemen, I thank the organizers, our friends in th...
-
Katibu Mkuu Msaidizi, Idara ya Ajira Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Malimi Muya (kulia), akizungumza katika...
-
MKATABA, HATI NA MAMBO 11 YA MUUNGANO Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amani Karume, Aprili 22, 196...
-
Mpigapicha wa gazeti la mwananchi, Emmanuel Herman akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mkewe, Mary Bernad aliyefariki tarehe 24 katika Hos...
-
Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania. Picha zaidi BOFYA HAPAAA
-
Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi , Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi ya...
-
Mwandishi wa Habari wa Uhuru FM, Athumani Palla akiwa katika pozi la kimahaba na mke wake, Rukia Bakari baada ya kufunga ndoa jana, nyumb...
TUKIO MUHIMU
theNkoromo Blog
My Blog List
-
MTWARA KUMEKUCHA; HOTELI YA KISASA YA SHANGANI HOTEL APARTMENTS YAZINDULIWA RASMI - Mandhari ya nje ya Hoteli ya Kisasa ya Shangani Hotel Apartments iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego usiku jana mjini Mtwara. Pia ul...5 minutes ago
-
Kenya,Ethiopia zang'ara London marathon - Eliud Kipchoge mwanariadha kutoka Kenya ameibuka kuwa bingwa wa mbio za London Marathon mwaka huu muda mchache uliopita.38 minutes ago
-
Timu ya Zanzibar Diaspora USA Yanyakua Kombe la Muungano Washington DC, Kwa Ushindi wa Mabao 7-1 dhidhi ya Tanganyika - *Katika shamrashamra za kusherehekea Miaka 51 kuungana Tanganyika na Zanzibar na kuwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Timu ya Zanzibar Diaspora nchini M...7 hours ago
-
MWANDISHI WA VITABU YASIN KAPUYA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI WASHINGTON, DC - Mwandishi wa vitabu Yasin Kapuya akimwelezea Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ya jinsi gani vitabu vyake vinavyoweza kumkwamua mwananchi wa hali ya chini na...7 hours ago
-
BALOZI LIBERATA MULAMULA AONGOZA MKUTANO WA MABALOZI WA HESHIMA WASHINGTON, DC - Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani akifungua mkutano wa Mabalozi wa Heshima uliofanyika siku ya Ijumaa April 24, 2015 Ubalozi w...7 hours ago
-
WAZIRI WA NCHI KUKUTANA NA VIONGOZI WA WALEMAVU WA NGOZI - Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisikiliza kwa makini hoja kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sera Wiz...7 hours ago
-
Zanzibar Heroes ( Marekani) yailaza Tanzania Bara 7-1 - *Mgeni rasmi Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na refa Mohammed kutoka Misri alipokua mgeni rasmi kwenye mechi ya Muungano kati Zanzibar Heroes ...7 hours ago
-
*WATANZANIA WALIOKWAMA AFRIKA KUSINI WAREJEA NYUMBANI - *JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA* *WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA* *WATANZANIA WALIOKUWA AFRIKA KUSINI WAMEREJEA NYUMBANI* *Kundi la ...18 hours ago
-
TEMBO KUTOWEKA TANZANIA MIAKA 10 IJAYO - NYALANDU - Pichani juu na chini ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akizungumza na katika mkutano uliohusisha wadau wa mashirika ya Kimataifa na asasi...1 day ago
-
COLECTION ZA DVD ZA MAYWEATHER NA PACQUAIO SASA ZINAPATIKANA UHURU / MSIMBAZI DAR - Na Mwandishi Wetu IKIWA zimesalia siku chache kufanyika mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Pa...1 day ago
-
-
YANGA MBELE KWA MBELE - WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya soka ya Kombe la Shirikisho, Yanga wamefuzu hatua ya 16 bora licha ya kuchapwa bao 1-0 na Platnum ya Zimbabwe ...3 weeks ago
-
WOMEN WITH ATTITUDE:SINEMA YENYE LADHA YA SHUGHULI INAYOCHOCHEA HAMASA NA MALENGO - [image: DSC_0166] *Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya “Woman with Altitude” iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duni...10 months ago
-
Philips to establish Research & Innovation Hub in Africa - If you cannot read that message, click here. *APO content is copyright free and can be republished at will.* *[image: philips.jpg]* *PRESS RELEASE* *Philip...1 year ago
-
BANDARI YA DAR ES SALAAM KUFANYAKAZI SAA 24 - SERIKALI imesema tatizo la msongamano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam, utakuwa historia baada ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), kuanza kufany...1 year ago
-
-
Popular Posts
-
H.E PRESIDENT JAKAYA KIKWETE Distinguished Participants, Invited Guests, Ladies and Gentlemen, I thank the organizers, our friends in th...
-
Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania. Picha zaidi BOFYA HAPAAA
-
Muumini wa Kikristo akitungikwa msalabani kama Yesu katika igizo lililofanywa na Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) A...
-
Tunatambua kuwa Wanavyuo wenzetu walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao...
-
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akitangaza matokeo hayo leo
-
Wasanii wa Bongo Movie wakibeba jeneza lenye mwili wa msanii mwenzao, John Maganga, wakati wa kuaga mwili wa msanii huyo, Mwananyamala, D...
-
Ubunifu huu mkubwa unafanywa na KIM FASHION DESIGN ambao wanapatikana NAFASI ARTSP...
-
MKATABA, HATI NA MAMBO 11 YA MUUNGANO Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amani Karume, Aprili 22, 196...
Powered by Blogger.
WALIOPO 'ONLINE'
756110
PHOTO ALBAM
<a href="http://slideful.com/v20130729_0568604538197598_pf.htm">View the slide show</a>
Gadget
Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho salama. |
Gadget
Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho salama. |
Google+ Badge
Followers
Maudhui haya bado hayapatikani kupitia miunganisho salama. |
Wadau
Contributors
Follow us by Email
UHURU FM
Uhuru Fm
TANGAZO LA UPL
TANGAZO UPL
Hakiki
Hakiki
0 Comments:
Post a Comment
MDAU HUU NI UWANJA WAKO, ANDIKA MAONI YAKO HAPA UBADILISHANE MAWAZO NA WENZAKO. KUMBUKA MAONI YASILENGE KUCHAFUA HALI YA HEWA KIMAADILI