ZIARA YA MAKAMU WA RAIS WA CHINA NCHINI TANZANIA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal kulia akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la Confucius Barani Afrika jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao. China 2Wanafunzi wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam wakitoa burudani katika uzinnduzi huo kwa kuimba nyimbokwa lugha ya kichina. China 3 
Baadhi ya wageni wakifuatilia kwa makini burudani mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la Confucius Barani Afrika jana jijini Dar es Salaam china 4 
Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akioneshwa machapisho mbalimbali yanayohusu Utamaduni wa watu wa China. China 5 
Mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la Confucius Barani Afrika jana jijini Dar es Salaam
  Mama Nye 1 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akisalimiana na Mke wa Baba wa Taifa mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake jana ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Tanzania. Mama Nye 2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akimkabidhi zawadi Mama Maria Nyerere jana wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani.
Mama Nye 3 

0 comments: