Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa ,(waliokaa wapili kushoto) katika picha ya pamoja na Shemasi wa Kanisa Katoliki la Hospitali ya Taifa Muhimbiki, Gaspar Tumaini (walio kaa wapili kulia) , wanne ni mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Dr Merina Njelekela, (wakwanza kulia ni ) Mkuu wa Idara Taaluma za Maendeleo na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Dr Avemaria Semakafu,wakwanza kulia ni Padre Fidelis Mushi, pamoja na viongozi wa Jumuiya hiyo na wahitim,mara baada ya kumalizika kwa Mahafali ya Jumuiya hiyo Dar es Salaam jana (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wahitim wa Mahafali
Mc Toll akiendesha shughuli hiyo
Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,
akizindua albamu ya nyimbo za kwaya ya kanisa hilo Dar es Salaam jana,kulia ni Padre Fidelis Mushi.
Padre Fidelis Mushi, akisakimiana na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa, mara alipo maliza kuongea na wahitim hao, Dae es Salaam jana.
Agath Fabian ,
akikabidhiwa cheti na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,amye amesomea Stashahada ya Meno katika chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shilikishi (muhas),katika Mahafali ya Jumuiya Katoliki Muhimbili, yaliyo fanyika Dar es Salaam jana.
Muhitimu wa Diploma ya Uuguzi, Catherine Gabriel , akikabidhiwa cheti na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,katika Mahafali ya Jumuiya Katoliki Muhimbili
Veri Njau, akikabidhiwa cheti na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,amye amesomea Teknolojia ya Mionzi Tiba ,katika Mahafali yalio fanyika Dar es Salaam jana.
Shemasi wa Kanisa Katoliki la Hospitali ya Taifa Muhimbiki, Gaspar Tumaini (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu,Benjamin Mkapa,katika mahafali ya Jumuiya Katoliki katika hospitali hiyo na kufuatia na uzinduzi wa albamu ya nyimbo za kwaya ya kanisa hilo Dar es Salaam jana
Mc Toll , (wakwanza kushoto) akiwa ni mwe tabasam ,mara alipo maliza kuendesha Mahafali hayo,katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ,wapili kushoto,pamoja na viongozi wa Dini na baadhi ya wanafunzi walio pita katika Jumuiya hiyo.
0 comments: