MKURUGENZI WA HUDUMA YA UUGUZI HOSPITALI YA TAIFA, AGNES MTAWA, AONGOZA WAUGUZI KUMUAGA MFANYAKAZI AYSHA HAMISI ALIYE FARIKI 16 JUNE MWAKA HUU

 Ofisa mwandamizi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa ya Mhimbili,aliye fariki Tarehe June 16 mwaka hu ameagwa Leo katika Hospitali hiyo leo na kusafirishwa kwenda Kondoa mjini  kwa mazishi kesho.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya www.ujijirahaa.blogspot.com
ikifunguka fungua (ujijirahaa)
 Mkurugenzi wa huduma ya  Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Mhimbili,Agnes Mtawa,(wakwanzakushoto) akiwaongoza wauguzi kwa kumuaga Ofisa Mwandamizi wa Hospitali hiyo na baadaye kusafirishwa kwa mazishi huko Kondoa Mjini kesho.
 Mkurugenzi wa huduma ya  Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Mhimbili Agnes Mtawa, (wakwanzakushoto) akiwaongoza wauguzi kwa kumuaga Ofisa Mwandamizi wa Hospitali hiyo na baadaye kusafirishwa kwa mazishi huko Kondoa Mjini kesho.


















0 comments: