MAUREEN TARIMO APATA KOMONIO YA KWANZA

Maureen Tarimo katika Pozi ,Picha zote na KHAMISI MUSSA,Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com,ikifunguka fungua (ujijirahaa)

 Maureen Tarimo, katika Pozi,Fun City baada ya kupata Komonio ya kwanza katika kanisa la Mt. Bakhita Mtoni kwa Azizi Ally ,Dar es Salaam
  Maureen Tarimo, katika Pozi na mama wa Ubatizo,Illuminatha Matunda,(kulia)  ,Fun City baada ya kupata Komonio ya kwanza katika kanisa la Mt. Bakhita Mtoni kwa Azizi Ally ,Dar es Salaam.
  Maureen Tarimo,(katikati)na kushoto ni dada yake Ester Tarimo na kulia ni kaka yake John Tarimo,wakiwa katika pozi.
 Ndugu na jamaa wakipata chakula

 Ndugu na jamaa wakipata chakula
 Ndugu na jamaa wakipata chakula
   Maureen Tarimo, katika Pozi
   Maureen Tarimo, katika Pozi na rafiki yake wakiwa katika mfano wa Sanam la Chura
  Nisafari ya kuzunguuka Maureen Tarimo na rafiki yake  , katikaTreni ya Sanam Iliyopo katika maeneo ya Fun City kwaniaba ya watoto watembeleapo kwa mazingira ya kuvutia.
 Maureenna rafiki yake wakijivinjari katuka viunga vya Fun City baada ya kupata Komonio ya kwanza.
 Maureen Tarimo wakiwa katika kikombe wakizunguuka pamoja na rafiki yake
 Maureen Tarimo, akitembea kwa furaha katika maeneo ya Fun City na akiwashukuru wazazi na wana familia na wote walio mfanya afike hapo alipo fika.huku akiwaombea kwa mungu.walipo toa mungu awaongezee.
 Maureen Tarimo,akiwa katika gari linalo tumia umeme
Mama mzazi wa   Maureen, Leah Balki, akiwa katika anga ya Fun City,kwenye mfano wa ndege. 
 Maureen Tarimo,wa pili kulia akiwa katika na Wanafamilia katika picha ya pamoja
 Leah Balki,ambaye ni mama wa Maureen Tarimo, akiwa katika bembea pamoja na wanafamilia na wateja wengine







 Mama wa ubatizo, Illumina Matunda ,(kulia) , alimkabidhi zawadi ,Maureen Tarimo,baada ya kupata Lomonio ya kwanza
 Maureen Tarimo ,akikabidhiwa zawadi na mama yake mzazi , Leah Balki

 Wanakikundi cha Upendo,walio olewa katika ukoo wa Tarimo, wakimpatia  Maureen, zawadi na wamemfungulia Akaunt ya Benk.
 Furaha na nderemo ilitawala katika kiwanja cha Fun City, baada ya kumpongeza Maureen Tarimo
  Wanakikundi cha Upendo,walio olewa katika ukoo wa Tarimo, wakimpatia  Mama mzazi wa Maureen Tarimo , Leah Balki ,wakimpa  zawadi. 
Wanakikundi cha Upendo,walio olewa katika ukoo wa Tarimo, wakimpatia  zawadi Mama mzazi Maureen Tarimo , Leah Balki .

0 comments: