wafanya biashara wasitisha huduma mtwara.

watoa huduma za usafiri pamoja na wafanyabiashara mjini mtwara .
Wamesitisha kutowa huduma kwa madai kwamba wanaomboleza! vifo vya wenzao walio fariki katika vurugu zilizotokea mwaka jana tarehe 22 mey.

0 comments: