MAADHIMISHO YA SIKU YA WAUGUZI TANNA YAFANA MOI LEO DAR ES SALAAM.

 Wauguzi wa Tawi laTanna Moi wakiadhimisha siku y a wauguzi Duniani kwa Maandamano Leo .(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa blog ya  www.ujijirahaa.
 Wauguzi wa Tawi laTanna Moi wakiadhimisha siku y a wauguzi Duniani kwa Maandamano Leo
 Furaha na nderemo leo kwa wauguzi, kuadhimisha siku y a wauguzi Duniani kwa Maandamano Leo kwa kumkumbuka mwanzilishi wa Taaluma ya Uuguzi Bi Flurence Nightingale.
 Baadhi ya  Viongozi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakiwa tayari kwa kupokea Maandamano ya wauguzi leo ta kumkumbuka mwanzikishi wa Taakuma ya Uuguzi Bi Flurence Nightingale






 

Mkurugenzi Huduma za Uuguzi Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo (MOI) akiwaongoza wauguzi wa Taasisi hiyo katika Maadhimisho ya siku ya Wauguzi Iliyofanyika Dar es Salaam  jana katika Taasisi hiyo
Wakila kiapo cha Uuguzi

Wauguzi wakila kiapo leo katika Ukumbi wa  Taasisi ya Moi
Ni sehemu ya MC akionyesha kipaji chake  kazini Pia ni Muuguzi wa Taasisi hiyo



Nisehemu ya kupata kiburudisho cha kinywa  


















0 comments: