div class="separator
Buriani kuambiana
Mwili wa Kuambiana Ukiwasili katika viwanja vya Leaders Club .kwa Gari Maalum la kubebea mwili la Kampuni ya Heavengates Funeral Services LTD
Wasani wenzake na Marehemu wakiwa wameubeba mwiki wa Msani Kuambiana kala ya kwenda Makaburini Kinondoni Dar es Salaam jana
Mke wa marehemu Kuambiana na Diwani wa kata ya Kunduchi Mabwepande Janeth Rite (wapili kushoto) mwenye kitambaa chekundu begani,akiwa na machungu ya kuondokewa namumewe
Mstahiki Meya wa Manispa ya Kinondoni akiwasiki katika viwanja vya Leaders Club leo katika kutoa Heshima za Mwisho kabla ya kwenda katika Makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam jana,kushoto ni mwenyekiti wa wasanii wa Filam Nchini ,Steven Nyerere.
Mchungaji Msaidizi Esther John akifungua ibada ya misa ya kumuaga Marehemu Kuambiana jana Leaders Club
Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Fenella Mkangara akimsalimia mke wa marehemu mara alipo fika katika viwanja vya Leaders Club katika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Kuambiana na kutoa salamu za rambirambi za Serekali.
Mchungaji Tetemeko Elisha wakanisa la Ukombozi Tegeta, akitowa mahubiri kabla ya kutoa heshima za mwsho , ambapo kamuwakilisha Nabii Bonifasi Malisa ,ambaye hurusha kipindi cha saa ya Ukombozi cha TV Star TV kila Jumapili saa 4.15 Usiku.
Msanii wa nyimbo za Injili Stara Thomas akitowa ujumbe kwakutumia nyimbo za muziki wa Injili, leo Leaders Club, kabla ya kwenda katika makaburini ya kinondoni Dar es Salaam
Sehemu ya waombolezaji
Kaimu katibu Mtendaji Basata, Godfrey Mngereza ,akitoa salamu za Baraza la Habari na Rambirambi
Babu wa Adam P,Kuambiana ,Joseph C Christopher Ngaeje, akitoa wasifu wa Kuambiana
Msani wa Filimu Nchini kwa jina maarufu, JB ,alishindwa kutoa maelezo jana mara alipo ombwa kutoa maelezo kwani alikua anasafari na kushindwa kusafiri kwa ukaribu alio kuwa nao na marehemu Adam P, Kuambiana
mwenyekiti wa wasanii wa Filam Nchini ,Steven Nyerere.alikua na wakati mgumu wakati akielezea jinsi alivyokua akifanyanaye kazi kwa ukaribu jana.
Mmiliki wa Mwananchi Blog ,WiliamMalichella akitoa hehima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliye kua Msani wa Filimu Nchini ,Adam P.Kuambiana, katika viwanja vya Leaders Club jana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: