NHC WASIKITISHWA KUPOROMOKA GHOROFA DAR


Baadhi ya wanahabari wakiwaombea dua watu waliokufa na kujeruhiwa baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa 16, Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu (katikati) akiwaongoza Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki wa (NHC), Hamad Abdallah (kulia) pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa shirika hilo, Suzan Omari, kuwaombea dua watu wote waliokufa baada ya kuporomokewa na jengo la ghorofa 16, Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Tukio hilo walilifanya katika mkutano na wanahabari wa kuelezea kuanguka kwa ghorofa hilo, Dar es Salaam leo..
Wanahabari wakiwa kazini
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu akijibu maswali mbalimbali ya wanahabari

0 comments: