IBADA YA KUAGWA KWA DK AHIMIDIWE WERIA ELISIFA SAM

Mkurugenzi wa Ugavi na Fedha wa Taasisi ya Mifupa (MOI) Akitoa Heshima zake Zamwisho Katika Kuuaga Mwili wa   DK,Mwandamizi Ahimidiwe Sam.   

Baadhi ya Wafanyakazi Wakiwanje ya Kanisa la Muhimbili Wakiwa na Nyuso za Huzuni Kwa kuondokewa na Mfanyakazi Mwenzao.

Mkurugenzi Mtendaji Prof Lawrence Museru Akipita kwa Mjonzi Mbele ya Marehem Dk Ahimidiwe Sam,Mwishoni Mwawiki katika Kanisa la Kilutheri Hospitali ya Taifa Muhimbili.  
Mkurugenzi wa Tiba Dk Cuthbet Mcharo Akitoa Heshima za Mwisho kwa Aliekua Dk Mwandamizi
wa Taasisi ya (MOI)
Kaimu Mkurugenzi wa Utwala  Constancia Lima(Aliejifunga kitamba kichwan)Akiwa  na Wafanyakazi wa Taasisiya Moi Katika Kanisa la Hospitali ya Taifa  Muhimbili wa kiwa na Majonzi Kwakuondokewa na Mpendwa Dk Ahimidiwe Sam. 


 
 

Mke wa Marehem Marrr Joseph Limo Akiwa Anauaga Mwili wa Mumewake Nyumbani kwao Korogwe Kimara Dr es Sallam Mwishoni mwa wiki.
Mke wa Marehem Marrr Joseph Limo Akiwa na Ndugu na Jamaa,(Kulia ni Mama wa Marehem) 
Mkurugenzi wa  Huduma za Uuguzi Flora Kimaro Akiwa na Wauguzi katika Msiba wa Dk ,Ahimidiwe Sam
Baadhi ya Madakitari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Wafanya kazi wa Taasisi ya Moi wakiwa Nyumbani kwa Marehem Dk  Ahimidiwe Sam

Baadhi ya Ndugu na Jamaa wakiutoa Mwili wa Dk Ahimidiwe Sam  ndani Kuelekea Kanisani.
 

 






Mke wa Marehemu, aitwaye Marry Joseph Lyimo (mwenye kiremba cheupe), akimuaga mume wake. 









0 comments: