DK NCHIMBI AKAGUA ENEO LA UJENZI WA JENGO LA CCM MKOA WA GEITA

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi, Dk. Emmanuel Nchimbi leo asubuhi ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo jipya la Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Geita wakati wa ziara ya kikazi mkoani humo Agosti 13, 2024.

   Ramani ikionesha sura yake ya mbele.
  Mshauri wa mradi wa ujenzi wa jengo hilo, Sadock Rubete akitoa maelezo jinsi jengo hilo litakavyokuwa baada ya kukamilika.
   Dk Nchimbi akiangalia eneo linaloandaliwa msingi wa ujenzi wa jengo hilo.
   Dk Nchimbi akiuliza maswali kwa Mshauri wa Mradi huo alipokuwa akiakagua ujenzi huo.
   Baadhi ya viongozi wakiwa katika hafla hiyo.
    Manaibu Waziri wakiwa katika hafla hiyo. Kutoka kushoto ni Godfrey Kasekenya Wizara ya Ujenzi, Daniel Sillo (Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchini) na Zainab Katiba (TAMISEMI)
   Dk Nchimbi akijadiliana jambo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko.
   Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdallah Hamid akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Nicholaus Kasendamila..
   Kasendamila akielezea kuhusu mipango ya ujenzi wa jengo hilo.
  Eneo hilo likiandaliwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa msingi wa jengo hilo.


IMEANDALIWA NA MWANDISHI WETU=0754264203

0 comments: