TAASISI YA MOYO YAPATA ITHIBATI YA KIMATAIFA.

  Mkurugenzi Mtendaji Taasisi ya Moyo JKCI Dkt. Peter Kisenge akizungumza leo 29. Mei 2024 Jijini Dar es salaam na Wandishi wa Habari juu ya Taasisi hiyo kupata Ithibati (ISON15189:2012)  ya Viwango vya ubora wa  Kimataifa katika kutoa huduma za vipimo vya magonjwa ya Moyo pamoja na magonjwa mengine. Ambapo Shirika la Kimataifa la viwango ndio lililo ithibiti hiyo. kushoto ni Kaimu Mkuu wa Maabara JKCI Emmanuel Mgao. (PICHA NA KHAMISI MUSSA).
 Kaimu Mkuu wa Maabara JKCI Emmanuel Mgao. Akifafanua jinsi walivyopata  Ithibati ya Kimataifa


0 comments: