DK. MWINYI AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia pichani) akimsikiliza Mwandishi Mwandamizi Ndg.Salim Said Salim (kushoto) akimsikiliza katika mazungumzo yanayohusu masuala ya ziara yake Nchini Qatar hivi karibuni na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi yaliyofanyika jana 30/05/2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakifauatilia kwa makini mazungumzo baina ya na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Habari vya Serikali na Binafsi na Mhe. Rais, yaliyofanyika jana katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuhusu ziara ya Nchini Qatar hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar jana, ambapo zaidi amezungumzia ziara yake Nchini Qatar hivi karibuni.
Mwandishi wa Habari wa gazeti la Nipashe hapa Zanzibr Ndg.Rahma Suleiman akiuliza suala wakati wa mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar yanayohusu masuala ya ziara Nchini Qatar hivi karibuni.jana 30/05/2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Azam TV hapa Zanzibar Mtumwa Said Nassir akiuliza suala wakati wa mazungumzo na Wahariri na Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar jana yanayohusu masuala ya ziara ya Nchini Qatar hivi karibuni .
Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Habari vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika mazungumzo yanayohusu masuala ya ziara ya Rais Nchini Qatar hivi karibuni katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

0 comments: