WATAALAM WA CHATO WAPATIWA ELIMU YA KUTUMIA MASHINE YA VENTILATOR
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:32 PM
Daktari Bingwa wa Usingizi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Faraji Lydenge na Afisa Uuguzi wa JKCI Ally Athuman wakiwafundisha wataalam wa afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda chato (CZRH) na Hospitali ya Wilaya ya Chato namna ya kutumia mashine ya kumsaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) wakati wa mafunzo ya siku tatu yaliyotolewa na wataalam wa JKCI katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) Dkt. Brian Mawala akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya kutumia mashine ya kumsaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) yaliyofanywa na wataalam wa afya kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kumalizika hivi karibuni.
Daktari bingwa wa wagonjwa mahututi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Vivian Mlawi akiwafundi wataalam wa afya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda chato (CZRH) na Hospitali ya Wilaya ya Chato namna ya kutumia mashine ya kumsaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) kabla ya kuanza mafunzo kwa vitendo wakati wa mafunzo ya siku tatu yaliyotolewa na wataalam wa JKCI katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) Dkt. Brian Mawala akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya kutumia mashine ya kumsaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) yaliyofanywa na wataalam wa afya kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na kumalizika hivi karibuni.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: