Mkurugenzi wa UJIJI RAHAA BLOG anapenda kuungana na Waumini wa Dini ya Kiislamu kwa kusherehekea Sikukuu ya Eid na kuwatakia sherehe njema na kuwaalika nyumbani tuweze kufurahi kwa pamoja baada ya kuumaliza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pia nawakaribisha nnyote bila kuwasahau Wadau hawa wafuatao, Wanachama wa TDA wote, MOI, JKCI na MNH. Baada ya hapo kutakuwa na zoezi la Dua kwa kuwarehem Marehemu wetu wote walio tangulia Mbele ya haki. Eneo la tukio Kongowe kituo Mwembe Mtengu njia ya Kigamboni hapo unachukuaBoda anakulleta kwa Ustadhi Bilali utakuwa umefika. Karibuni nyote.
UJIJI RAHAA BLOG INAWATAKIA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU EID MUBARAK
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:20 PM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: