MKURUGENZI WILAYA YA MULEBA AKABIDHIWA ZAWADI MAALUM NA NA BENKI YA NMB.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:07 AMMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Muleba Ndugu Elias Mhwago Kayandabila akikabidhiwa zawadi maalum iliyoandaliwa na benki ya NMB na Meneja Lukanga Makusu (kushoto) wa Tawi la NMB Muleba
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Muleba Ndugu Elias Mhwago Kayandabila (katikati) akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa benki ya NMB tawi la Muleba mara baada ya kukabidhiwa zawadi maalum iliyoandaliwa na benki ya hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments: