Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na wanachama wa kikundi cha Wasafi Jogging Club wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuanza kwa mbio za taratibu (Joggong) za umbali wa Km. 7 ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza inayofanywa na Taasisi hiyo yenye kauli mbiu “Tembea na JKCI, Linda Afya ya Moyo Wako”. Matembezi hayo yamefanyika jana kwa mara ya tano Jijini Dar es Salaam tangu yazinduliwa mwezi Desemba mwaka 2022
Picha na: Khamisi Mussa
0 comments: