MWILI WA MTOTO MCHANGA WATUPWA MOMBANI

 
    Wakaazi wa eneo la Kawangware Nairobi nchini Kenya, wamebaini mwili wa mtoto mchanga uliotupwa kwenye bomba la maji taka. Mwili huo uligunduliwa na waendesha bodaboda waliokuwa wameegesha karibu na Shule ya Upili ya St. Anthony.


By na wakazi hao, mwili huo ulikuwa bado mbichi, ishara kwamba ulikuwa umezaliwa saa mapema mapema, pengine Jumamosi usiku. 


Kufuatia tukio hilo , Mwenyekiti wa eneo la Nyumba Kumi Joel Githinji, amepinga kitendo hicho kwa kutaja kuwa cha kikatili na amewataka wanawake majukumu ya uzazi pindi wanapobaini ni wajawazito badala ya kutoa mimba zisizotarajiwa kwani ndoa yao kuhatarisha maisha yao.


Pia amewashauri waepuke uhusiano na wanaume wasiowajibika na wapenda starehe za mwili tu kwani hawezi kuwa majukumu ya wazazi.

0 comments: