WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU AFUNGUA HANGA LA KULALA WAPIGANAJI WA ZIMAMOTO MAHONDA KASKAZINI UNGUJA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 4:22 AMWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Jamali Kassim Ali akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Hanga la kulala wapiganaji na kuweka jiwe la Msingi Ofisi kuu ya Zimamoto na Uokozi kanda ya Kaskazini Unguja .Ikiwa ni Shamra Shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: