UZINDUZI WA UPIMAJI WA AFYA WATOTO WA KITUO CHA MAZIZINI UNGUJA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:21 PM
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akitoa hutuba yake wakati wa
hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Waziri wa
Kazi, Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe. Moudline Cyrus
Castico na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe. Mama Liu Jie (kushoto) ,
[Picha na Ikulu.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimpakata Mtoto Yussuf Abdalla
Abdilah akifanyiwa uchunguzi wa Dr.Qin Qin (kulia) kutoka china akiwa ni
miongoni mwa Madakatri wa kujitolea akati wa hafla ya Uzinduzi wa
huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo
cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa
Mjini Magharibi.
Mke wa
Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati)
akimpakata mtoto wakati wa hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji
wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto
Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,(kulia)
Dr.Guo Yulan akiendelea na zoezi hilo,wakiwepo na Viongozi wengine
Dr.Wang Hao,Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto
Mhe.Moudline Cyrus Castico,Katibu Mkuu Bi.Fatma Gharib Bilali na Naibu
Wazuiri wa Afya Mhe,Harusi Said Suleiman.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China
aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (katikati) pamoja na Viongozi wengine
wakiwa picha ya pamoja na Madaktari wa Kichina wakati wa hafla ya
Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo
katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
Mkoa wa Mjini Magharibi.
Baadhi
ya Madaktari wa kujitolea kutoka Jamhuri ya Watu wa China wakiwa katika
hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi
“A” Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo mgeni rasmi akiwa Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani). 
Baadhi
ya Madaktari wa kujitolea kutoka Jamhuri ya Watu wa China,Wananchi na
Watoto wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa
Afya za Watoto wanaolelewa katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini
Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo mgeni
rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo
pichani)
Watoto
wanaolelewa katika kituo cha kulelea Watoto kiliopo Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa
huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto hao iliyofanyika leo mgeni
rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (hayupo
pichani).
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China
aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie(katikati kulia) pamoja na Viongozi wengine
wakiangalia Ngoma ya Utamaduni kutoka China iliyochezwa na vijana wa
Zanzibar na China katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji
wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto
Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mke wa Balozi Mdogo wa China
aliyepo Zanzibar Mama Liu Jie (kushoto) pamoja na Viongozi wengine
wakiwaangalia Watoto wa Kituo cha mazizini wakiimba Wimbo maalum wa
kuwakaribisha wageni katika hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya
Upimaji wa Afya za Watoto iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea
Watoto Mazizini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi
Waziri
wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Cyrus
Castico (kulia) akimkabidhi zawadi na Vifaa mbakli mbali Mtoto Ruwaida
Abdalla Aly kwa niaba ya Watoto katika Kituo cha Mazizini,zilizotolewa
na Mke wa Balozi Mdogo wa China Mhe.Mama Liu Jie (katikati) wakati wa
hafla ya Uzinduzi wa huduma maalum ya Upimaji wa Afya za Watoto
iliyofanyika leo katika Kituo cha kulelea Watoto Mazizini Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: