MWENYEKITI TUGHE AKIZUNGUMZA NA WANACHAMA WAFANYAKAZI WA MAHAKAMA

Mwenyekiti mpya wa Chama Cha Wafanyakazi Tughe Dar es Salaam, Mziwanda Chimwege, (katikati), alipokuwa ametembele Mkoa wa Temeke kujitambulisha baada ya hapo alizungumza na baadhi ya wanachama wa tughe wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa Nchini,kulia kwake ni Alqune Masubo, na katibu wa mahakama ya rufaa nchini, akishuhudia wakati mwenyekiti alipokuwa akizungumza. (PICHA NA UJIJIRAHAA BLOG)    

0 comments: